
Somo La Pili - Lesson Two - Numbers 1-20 and Tens 30-100
1 - Moja (One)
2 - Mbili (Two)
3 - Tatu (Three)
4 - Nne (Four)
5 - Tano (Five)
6 - Sita (Six)
7 - Saba (Seven)
8 - Nane (Eight)
9 - Tisa (Nine)
10 - Kumi (Ten)
11 - Kumi na moja (Eleven)
12 - Kumi na mbili (Twelve)
13 - Kumi na tatu (Thirteen)
14 - Kumi na nne (Fourteen)
15 - Kumi na tano (Fifteen)
16 - Kumi na sita (Sixteen)
17 - Kumi na saba (Seventeen)
18 - Kumi na nane (Eighteen)
19 - Kumi na tisa (Nineteen)
20 - Ishirini (Twenty)
30 - Thelathini (Thirty)
40 - Arobaini (Forty)
50 - Hamsini (Fifty)
60 - Sitini (Sixty)
70 - Sabini (Seventy)
80 - Themanini (Eighty)
90 - Tisini (Ninety)
100 - Mia moja (One hundred)
Curriculum
- 0m Duration