
Somo La Tatu - (Lesson Three) - Mazungumzo ya Kila Siku (Common Everyday Expressions)
Habari yako? - How are you?
Habari za asubuhi? Good morning?
Habari za mchana? Good afternoon?
Habari za Jioni? Good evening?
Asante! - Thank you!
Karibu. - You’re welcome.
Samahani. - Excuse me.
Pole. - I’m sorry.
Naweza kukusaidia? - Can I help you?
Hii inauzwa bei gani? - How much is this?
Choo kipo wapi? - Where is the toilet?
Sielewi. - I don’t understand.
Tafadhali ongea taratibu. - Please speak slowly.
Ni Saa ngapi? - What time is it?
Jina lako ni nani? - What’s your name?
Nafurahi kukutana nawe. - Nice to meet you.
Tutaonana baadaye. - See you later.
Uwe na afya. - Take care.
Hongera! - Congratulations!
Sijui. - I don’t know.
Unaweza kunisaidia? - Can you help me?
Nina njaa. - I’m hungry.
Nina kiu. - I’m thirsty.
Twende! - Let us go!
Ni Sawa. - It’s okay.
Hakuna shida. - No problem.
Nimechoka. - I’m tired.
Nina furaha. - I’m happy.
Usiku mwema. - Good night.
Uwe na siku njema. - Have a nice day.
Curriculum
- 0m Duration